KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
sijambo my wii. kumbe leo do happy birthday to you yako? i wish you a happy life my dia
Ahsante sana ila Lady doctor mgonjwa aisee.
am at your service..hahahahaha!
Happy belated birthday dear KOKUTONA hata sijui nilikua wapi sikuiona hii wajameni . Mungu akuzidishie umri uwaone wana wa wana yaani ufikie umri hadi uwe unaanikwa nje miaka 110. Barikiwa mno mno mno
Hahaa...mie nimeistukia Karibu na tukio la kukata keki...LoL...
Nitakula kwa imani...
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye heri na baraka tele.
Happy Birthday to you Rafiki!
Woooooow.....uniletee bana, mi leo is my dei siruhusiwi kutembea tembea