Happy just a little- belated birthday wifi.

I hope you were surrounded by beautiful people all day (kwahiyo hukukasirika wala kuboreka) thus making your birthday a wonderful one.

We (na kaka yako hapa) wish you alot more happy and celebratable birthdays to come...alot of blessings ...alot of love..joy and happiness!

Be blessed and stay blessed!!

Hommie......ngoja niwahi Calabash nikasherehekee birthday ya King'asti (damn, hili jina hili.......khaaaa)

happy second day king'asti.mia
Niko huku kwa nje nahesabu magari...hebu come this way.......mbona sikuoni? niko hapa babu, inabidi hiyo belated besdei lunch uitoe tu. afu hili jina uwe unapiga funda moja ndo unalitamka,pole weeh!

thanks kipipi... ila sasa usiwe mchoyo wa pipi banaa
Happy belated birthday dear,nilipita hapa jana lakini nikaogopa hiyo bunduki hahaha! hii vita ndio ya ukombozi wa pili nini ?jamani, kwa ma-care haya, i wish @day to be my bday! come to think of it,hivi kwa nini tunacelebrate mtu only once a year?

Niko huku kwa nje nahesabu magari...hebu come this way.......

ha ha ha haaa.......kwangu pipi ziko available all the time, embu ngoja nimzungukie AshaDii aseme vizuri au alizigawa njiani?!!

Happy belated birthday dear,nilipita hapa jana lakini nikaogopa hiyo bunduki hahaha! hii vita ndio ya ukombozi wa pili nini ?

jamani, kwa ma-care haya, i wish @day to be my bday! come to think of it,hivi kwa nini tunacelebrate mtu only once a year?

mimi kwa mwaka natakiwa nicelebrete mara mbili.ile ya kwa mama na kanisani.lakini huwa hata miaka minne inapita bila taarifa yoyote kama nina bday.naona kwa wengine tu.nikimpata wife atakua na kazi ya kunikumbusha haya mambo lol.mia
mwenye masikio na asikie! ila wakifanya hivi mmu kutakuwa hakuna cha kujadili,lol!!
:clap2:unastahili wifi. it takes to be an extra person to remember stuff that will put a smile on ur face. kuna watu hawakumbuki hata kumuambia mgonjwa pole!! u ar a unique person, otherwise u must be having a secretary ( i hope sio shem, LOL!)!
kumbe ni hii digirii ndo inanitesa? wifi njaa yote imeniisha! sikutegemea ungetoa collabo...na nilikuwa nanusa tuu,dah!!
hapo juu na hapa chini, babu u smell very fishy! wifi, watch me coz i am watching u! mi nna wivu na all married pple,ohoo!:angry:!
afu nilikuwa sijajua kama dera linanitoa vile,lol! ntacha kukwaza watu na skintite sasa! asante kwa kunifumbua macho,lol!!
:tea:wifi, i dont know what to say! thanks so much, and the cake was lovely! the best part is the no icing, bt chocolate spread,hahaha! na usiwe unamsingizia sweet wako banaa, sio mtegaji kiviile. yesterday was just lovely,thanks! family is the best thaning that can ever happen to anyone..:first:!

Happy Birthday mtoto mzuri Kiñg*a$tì
ha ha ha haaa.......kwangu pipi ziko available all the time, embu ngoja nimzungukie AshaDii aseme vizuri au alizigawa njiani?!!
ndo maana mi nilitaka pledges zitangulie. ila kwa futari niliyokula jana, kama amechakachua hamna neno. nishasamehe kabla!
wifi jamani, maswali gani hayo? lakini sikumbuki ati niliondoka na nani... hebu muulize sweet wako kama aliniona.kulikuwa na giza sana,bt i know i reached home safely,lol