Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 831
Thanx Birungi!HAPPY BIRTHDAY KIMEY
may GOD bless your way.
Thanx Birungi!HAPPY BIRTHDAY KIMEY
may GOD bless your way.
Hahaha bora umeligundua hili! Ila hatuna jinsi maisha lazima yaendelee!Birthday ni nzuri ila watu tunasahau kuwa unaposherehekea b,day inamaana unasherekea siku za kufa kukaribia hahaha
By the way Happy birthday
Thanx dear!
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote ushauri wao umeniltea mafanikio mema,
Sasa naishi na watu vizuri eee!
Hi
Mkuu wetu,
Hongera sana kiongozi...Naagiza Voice-Of-Reason moja, bili kwako!
Labda nikutaarifu kuwa Head-Office ya JF iliyopo Arusha imeanzisha utaratibu maalum wa kutuma zawadi kwa wale wote wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa!
Zawadi zako nyingi sana zimekabidhiwa kwa m-bidada aliyeleta ujumbe huu jukwaani, (..japokuwa kwa sisi huku huwa HATUMWAMINI KABISA, nina kisa ambacho nitakileta kama thread!)
All in all, enjoy hizo zawadi, na tunategemea feedback!

ha ha ha!ningeshangaa kama ungenyamaza,,,lol najua hapo kny red mnaniamini kabsaaa
Hahaha hommie huu acha tu jinsi nilianze kunywa toka kichanga ni mapipa mengi aisee!Hongera Kimey...
Hivi umetimiza pipa ngapi za bia? Na debe za valuu?
huwa namwomba mungu sana nisiwe na wivu lakini nashindwa kabisaNamshkuru Mungu kwa ajili yako
Nawashkuru wazazi wako kwa kupendana wakakuleta duniani
Zaidi wakakulea katika misingi bora
Nakuombea maisha marefu ya baraka utimize ndoto zako,,,keep fearing God
Pamoja mkuu Sita Sita!May u get wealthier, Happier and Wiser as u step onto a new age of ur life
hapi besidei tu yu KI! MEY
Hahaha mi nna hang over ya maziwa ya mama! Thanx hommiehongera sana mpwa!
hapa nilipo nina hengova ya mchanganyiko wa ballantine,grants,viceroy na MBEGE!hata nimesahau unatimiza maka mingapi
LAKINI POA TU!
HONGERA SANA AU VIPI!...
Swali ni kwamba ulijuajejuaje juu ya hii birthday?Namshkuru Mungu kwa ajili yako
Nawashkuru wazazi wako kwa kupendana wakakuleta duniani
Zaidi wakakulea katika misingi bora
Nakuombea maisha marefu ya baraka utimize ndoto zako,,,keep fearing God
Swali ni kwamba ulijuajejuaje juu ya hii birthday?
Tumekaa kama kamati hatujapata jibu, na hivyo tumeunda tume!