Happy birthday kimey!

Hommie Happy Birthday nimepata taarifa meza zinapangiwa usalule kwahiyo najiandaa kuwasha tukutuku kuja huko lol...
Hongera sana mkuu Mungu akuzidishie uishi miaka mingi zaidi
 
Birthday ni nzuri ila watu tunasahau kuwa unaposherehekea b,day inamaana unasherekea siku za kufa kukaribia hahaha

By the way Happy birthday
Hahaha bora umeligundua hili! Ila hatuna jinsi maisha lazima yaendelee!
 
Thanx dear!
Nawashukuru wazazi wangu wakati wowote ushauri wao umeniltea mafanikio mema,
Sasa naishi na watu vizuri eee!

Namshkuru Mungu kwa ajili yako
Nawashkuru wazazi wako kwa kupendana wakakuleta duniani
Zaidi wakakulea katika misingi bora
Nakuombea maisha marefu ya baraka utimize ndoto zako,,,keep fearing God
 
Hi
Mkuu wetu,
Hongera sana kiongozi...Naagiza Voice-Of-Reason moja, bili kwako!

Labda nikutaarifu kuwa Head-Office ya JF iliyopo Arusha imeanzisha utaratibu maalum wa kutuma zawadi kwa wale wote wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa!
Zawadi zako nyingi sana zimekabidhiwa kwa m-bidada aliyeleta ujumbe huu jukwaani, (..japokuwa kwa sisi huku huwa HATUMWAMINI KABISA, nina kisa ambacho nitakileta kama thread!)

All in all, enjoy hizo zawadi, na tunategemea feedback!
 
Kimey halafu hivi Torres jana oohoo my bad sitaki kuharibu Bday tuendelee kusherekea mkuu ila pole sana
 
Happy birthday kimey!may god give you many many more years ahead filled with happiness!
 
Hi
Mkuu wetu,
Hongera sana kiongozi...Naagiza Voice-Of-Reason moja, bili kwako!

Labda nikutaarifu kuwa Head-Office ya JF iliyopo Arusha imeanzisha utaratibu maalum wa kutuma zawadi kwa wale wote wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa!
Zawadi zako nyingi sana zimekabidhiwa kwa m-bidada aliyeleta ujumbe huu jukwaani, (..japokuwa kwa sisi huku huwa HATUMWAMINI KABISA, nina kisa ambacho nitakileta kama thread!)

All in all, enjoy hizo zawadi, na tunategemea feedback!

ha ha ha!ningeshangaa kama ungenyamaza,,,lol najua hapo kny red mnaniamini kabsaaa
 
:coffee::coffee::coffee::coffee::coffee::sick::sick::sick::sick::sick:
 
Namshkuru Mungu kwa ajili yako
Nawashkuru wazazi wako kwa kupendana wakakuleta duniani
Zaidi wakakulea katika misingi bora
Nakuombea maisha marefu ya baraka utimize ndoto zako,,,keep fearing God
huwa namwomba mungu sana nisiwe na wivu lakini nashindwa kabisa
 
hongera sana mpwa!
hapa nilipo nina hengova ya mchanganyiko wa ballantine,grants,viceroy na MBEGE!hata nimesahau unatimiza maka mingapi

LAKINI POA TU!
HONGERA SANA AU VIPI!...
Hahaha mi nna hang over ya maziwa ya mama! Thanx hommie
 
Namshkuru Mungu kwa ajili yako
Nawashkuru wazazi wako kwa kupendana wakakuleta duniani
Zaidi wakakulea katika misingi bora
Nakuombea maisha marefu ya baraka utimize ndoto zako,,,keep fearing God
Swali ni kwamba ulijuajejuaje juu ya hii birthday?
Tumekaa kama kamati hatujapata jibu, na hivyo tumeunda tume!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom