Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
weeee weeee unaiba huku tunakuona!???
Happy birthday ICHANA, nakuja kesho kuchukua keki angu
afu we mzungu wa jf usimwamshe ichana bure
Mmmmmmh
Nahis nimelewa keki Vaislay my dia njoo unifafanulie
kama hivi tukubaliane....utaleta kahela kdg ili nisiseme yatakayo endelea huko
hahahaha mokoyo atakukatia posho ya uhakika lol
toa kianzio...ntasemaaaaaa!!!
Ha ha Asante sana
Wewe njoo keki tuu mbona utakula hadi mwanao alale na keki badala ya hela
Asante shem Mokoyo ni mume wangu kipenz cha roho Yang
I can't breath without mokoyo
If u cut my vain ntatoa damu ya @ mokoyo
kaniletea jion hii zawad nyingine tena ooooh kama mwanaume ni huyu
Sasa Cjui unataka ujue nn tna juu ya mapenz Yang na mokoyo
Ticha Asante nimekuwa mkubwa na akili na busara zimezidi
Thanks kwa wishes
Sambaza upendo tuu
Asante sana
Mungu akubariki