Happy Birthday ICHANA

Happy Birthday ICHANA

It is 1st June....

Special day for ICHANA

Its her birthday
ICHANA sina maneno mengi ya kuandika juu yako ila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kwako. Mshukuru MUNGU wako maana ni kwa rehema na neema zake tu ndio maana leo unasherehekea siku hii muhimu kwako. Jaribu kufikiria ni ndugu na marafiki wangapi umewapoteza mpaka kufikia leo. Tafakari piga magoti mshukuru MUNGU na la muhimu jitahidi kutenda yaliyo mema zaidi na zaidi.
ICHANA washukuru sana wazazi wako kwa malezi waliyokupa hadi leo. Kumbuka kuna watoto wengi wanakosa malezi ya wazazi wao na kuishia kuharibikiwa maisha yao lakini wewe umepata rehema ya kukua mikononi mwa wazazi.
ICHANA sema pia asante kwa ndugu na marafiki zako kwa sapoti wanayokupa kila siku maishani, kumbuka hii ni dunia na kamwe huwezi kuishi peke yako hata uwe maskini au tajiri kiasi gani.

Mwisho ICHANA tunajifunza kupitia makosa yetu maishani, na wewe jifunze katika makosa yako ili sasa unapoanza mwaka mwingine upige hatua mpya ukiwa na matumaini na furaha kuu maishani mwako.

Kumbuka maneno yako haya "Nitaimba kwa sauti kuu ya kumshukuru MUNGU".

Jamani tumtakie heri ya kuzaliwa mwenzetu ICHANA

Happy-BirthDay-Present%5B1%5D.jpg


Copy to: sungura1980, miss neddy, Kaizer, DEMBA, christine ibrahimu, miss chagga, The Boss, Invisible, Mtambuzi, watu8, Miss Bantu, lara1, ladyfurahia, amu, Kunta Kinte, Dinazarde, Asprin, Mashaxizo, Rocky, Mndengereko, utafiti, uran, Mentor, Nyani Ngabu, evelyne Salt, Mamndenyi na wengineo wooote

nataka kuamini sasa kuwa hii kitu unaitafuna kweli.
hongera sana..
 
Happy Birthday shemeji..

Asante shem Mokoyo ni mume wangu kipenz cha roho Yang
I can't breath without mokoyo
If u cut my vain ntatoa damu ya @ mokoyo
kaniletea jion hii zawad nyingine tena ooooh kama mwanaume ni huyu

Sasa Cjui unataka ujue nn tna juu ya mapenz Yang na mokoyo
 
Last edited by a moderator:
Happy birth day ICHANA uishi maisha marefu kama madiba

Asante best ...

Baraka zako nimezipokea .
My hubby mokoyo hapa anakusalimia Amesema pls msalimie sana mumeo king Excel mwambie tumemmiss sana
 
Last edited by a moderator:
happy bday mamito! Mungu akubariki uishi kuona watoto wa wajukuu zako

Asante sana kwa kuniombea baraka kwenye hii siku muhimu wangu
Mungu anitendee kadir ya ombi lako
Stay blessed my dia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom