Happy Birthday ICHANA

Happy Birthday ICHANA

Happy Birthday long liver over queen elizabeth ICHANA
Party wapi?
 
Last edited by a moderator:
Haka ka ICHANA katakuwa kametimiza miaka kumi na ngapi? Ngoja nikape baraka za babu.... Heri ya şiku ya kuzaliwa ICHANA, Mungu akuwezeshe uwaone watoto wa wajukuu zako, waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wale washibe na kusaza hekima na busara zako. Amina
 
Babu Asprin leo umeongea busara sana!!Kumbe wakati mwingine wajukuu wasipokuwepo unakuwa makini
 
Last edited by a moderator:
Thanks soo much my lovely hubby Mokoyo
Its so special day to my life am thanks GOD, he know me before I born , set plan n purpose of my life

Niimbe zaburi kumshukuru MUngu kwa maana sio kwa nguvu wala akili zangu Bali kwa roho mtakatifu.
Neema na rehema zake ananijalia kila siku na kuniongezea siku za kuishi japokuwa namkosea..may God bless me more n more kwa kila mwaka

My sweetheart Mokoyo I rly apriciate kwa yote unayonifanyia.loves u much bby
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday shem wangu ICHANA,,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema,Amani na Mafanikio tele!Mzidi kupendana na kaka yangu Mokoyo!Kweli shem unapendwa,saa sita usiku kakangu halali anakumbuka tu kukutakia heri ya kuzaliwa!Safi sana!Happy birthaday ICHANA

Thanks soo much shem
Ur brother Mokoyo loves me much ndo mana hakuweza kupata uzingiz hadi aliponipotia zawadi ya happy bday
May God bless u n ur family
Msalimu mke mwenzangu Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Happy birthday ICHANA I wish you all the best in your life! God bless you cute girl. #Longlife

Ha ha ha unajua nimekumiss
Niletee midoli pls

Thanks soo much I rly apriciate upendo wako
Mungu akubariki sana
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday long liver over queen elizabeth ICHANA
Party wapi?

Uuupsi
Thanks soo much best
Asante kwa upendo wako wa kunionbea baraka

Party ipo nakuja mtaani kwenu kucheza kibaba na kimama mama lol
 
Last edited by a moderator:
Haka ka ICHANA katakuwa kametimiza miaka kumi na ngapi? Ngoja nikape baraka za babu.... Heri ya şiku ya kuzaliwa ICHANA, Mungu akuwezeshe uwaone watoto wa wajukuu zako, waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wale washibe na kusaza hekima na busara zako. Amina

Ha ha ha babu wewe nshakuwa mkubwa hadi nina mume mokoyo

Thanks for ur wishes in this special day of my life
Asante pia kwa kuniombea Mungu anijalie upendo na hekima kila uchao
Jinsi umri unavyokwenda basi na hekima zizidi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom