Mie mwenyewe leo niko kwenye mood ya ugomvi kichizi.Wee Chokoza tu njemba yoyote halaf mimi nitatembeza kipondo. Hii ni speshel offer kwako wewe na sweetlady tu, haimuhusu kabisa King'asti wala faizafoxy.
Mie mwenyewe leo niko kwenye mood ya ugomvi kichizi.Wee Chokoza tu njemba yoyote halaf mimi nitatembeza kipondo. Hii ni speshel offer kwako wewe na sweetlady tu, haimuhusu kabisa King'asti wala faizafoxy.
hahahahaa sweetie you never cease to amaze me... (ODM yuko hoi leo, labda PA ndo namwona anazunguka zunguka hapa..ila nashangaa kuwa King'asti na SL ndo waliwafanyia mpangombaya RR and CO...bado nipo kiupelelezi zaidi love)
Kamanda bana! hivi kwakuwa Ashadii yupo around ndo unajifanya huwajui wako wapi sio? hehehe ama kweli mapenzi ni ujanja khaaa!Hivi umewaona wapi aisee...
Bora umenizuia aisee! mara ya mwisho nilompiga jamaa alitangaziwa kifo kabla kufikishwa hospitali. Kijijini wananiita Bollo young. Yaani mdada atakaepata bahati japo ya kuwa nyumba ndogo yangu basi ana bahati kweli hakyanani sitanii.hahahaha, kuna njemba imenichokoza mmu ila tumuache usije ukamvunja masaburi bure.
Kamanda bana! hivi kwakuwa Ashadii yupo around ndo unajifanya huwajui wako wapi sio? hehehe ama kweli mapenzi ni ujanja khaaa!
Umenshangaza!
Bora umenizuia aisee! mara ya mwisho nilompiga jamaa alitangaziwa kifo kabla kufikishwa hospitali. Kijijini wananiita Bollo young. Yaani mdada atakaepata bahati japo ya kuwa nyumba ndogo yangu basi ana bahati kweli hakyanani sitanii.
heheheh case klozdUmeona eeeh?? lol (bahati nzuri najua saaana kua anajua!)
Duh!!! Hii birthday sijui kama watu niliowataja wamerudisha vile vitu walivyovichukua
Umeanza kumtetea.....lol!!Ndio kuna taratibu zimewekwa PA za kufuatilia... Sweetie yeye hakuchukua... ila tu alishanga kukuta ipo kwenye bonnet.. Sijui nani alilewa mpaka akachanganya na kuweka kwake... nahisi atakua Kimey....lol
Umeanza kumtetea.....lol!!
Kamanda bana! hivi kwakuwa Ashadii yupo around ndo unajifanya huwajui wako wapi sio? hehehe ama kweli mapenzi ni ujanja khaaa!
Umenshangaza!
hahaha kamanda...mtoto mrembo kama AshaDii unampataje kama huna maujanja.....unanshangaza.!
Hii nimeikubali aisee! manake hii quality ya ADI hakyababu kama ni mzururaji wa tandale kama The Finest hauwezi kumpata hata sku moja.hahaha kamanda...mtoto mrembo kama AshaDii unampataje kama huna maujanja.....unanshangaza.!
Hii nimeikubali aisee! manake hii quality ya ADI hakyababu kama ni mzururaji wa tandale kama The Finest hauwezi kumpata hata sku moja.
Huyu The Finest anatokea wadada wendawazim halaf anawapatia namba yangu ya sim, juzi kuna katoto kamenipigia sim ile napokea tu naskia "shkamoo baba the finest". Khaaa!
Umeonaeeh....huyu TF anahitaji mafunzo elekezi...nadhani umfanyie mpango akakae walau bondeni hoteli pale mapipa.....ajue namna ya kuhandle hizi issues...... (hivi ina maana na Husninyo atakuwa amekupigia anamuulizia TF? iyo simu itakuwa ya kichina)