Kuungishaje sasa,umefungua goli?Labda upite Mwananyamala uniungishe ndugu yako. Birthday ilikua jana
OK safi sana,mwananyamala IPI sasa maana wengine huu mji kdg tushaanza kusahau vichochoroYes..
Hiyo dearest jolie jolie kaiona ?Let this new year of your life be more beautiful and full of achievements and fun. May you enjoy new opportunities and experiences as you take another step in your life.
Happy birthday dearest.
Mpe gwala kama unajua alipoJJ anajua uwepo wangu
Mbowe ndio nani?
Utamuweza huyo..Anakuwaga na mashetani..Nimekumiss mke..
Nimekumbuka pia baby😍😍😍Utamuweza huyo..Anakuwaga na mashetani..Nimekumiss mke..
Mkuu yale mashetani ulinirushia yalishatoka, siku hizi sina.Utamuweza huyo..Anakuwaga na mashetani..Nimekumiss mke..
Na kabarikiiii kwa mikono yote miwiliJJ anajua uwepo wangu
Mzungu yule hana shidaa.....Hiyo dearest jolie jolie kaiona ?
Karibu mwananyamala ujijiHii birthday inafanyika wapi nipite kutia Baraka kdg ,japo tuchupa kadhaa
Hahahaha, poa poa MkuuKaribu mwananyamala ujiji
Poa najua nitafika tu ,siku nikiwa lindo napita hapoUjiji Mwananyamala
Poa, sipoteiKaribu sana
Hivi zile tatu bado zipo?Karibu sana