Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Ahsanti..Itabidi tumtafute mdogo wake Heaven sent sasa..
Nimekumbuka pia baby![]()
Nimekumbuka pia baby![]()
Mkuu yale mashetani ulinirushia yalishatoka, siku hizi sina.
Mume kichomi wewe bora uwe tu mkuu.Haya mama..Ila umenidemote kwa kiasi kikubwa..Kutoka mume hadi mkuu..??Inshallah..Malipo hapa hapa duniani..
kwa hyo mom upo singooo?





Hivi ma bby wa jf mlishawahi kulana ?Nimekumbuka pia baby![]()
Safari hii mapacha baby achana na huyo pasua kichwa atakuwahishia mvi bureAhsanti..Itabidi tumtafute mdogo wake Heaven sent sasa..
@Heaven Sent kuna mtu anakujungua huku dota.Safari hii mapacha baby achana na huyo pasua kichwa atakuwahishia mvi bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa amenimiss tu@Heaven Sent kuna mtu anakujungua huku dota.
Sasa mwenyekiti anakosaje kuwa certfied?Kwahiyo bby wangu ni certified chihuahua???
Halafu hutaki offer yangu eeeh
Leo niko Ngamiani sokoniLeo ingefaa sana. Tunaanzia biriani, tunaenda Ujiji, tunamalizia band Skylight.

Asantee mamiiii.....usharudi town??Happy birthday mpiga deki![]()
Hahahaha, ratiba iko vzrLeo ingefaa sana. Tunaanzia biriani, tunaenda Ujiji, tunamalizia band Skylight.
InashawishiiHahahaha, ratiba iko vzr