Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
20 aisee.....nimekua sasa mnipeeNitajisogeza hapo sio muda
Kwani ndio umefikisha miaka kumi na ngapi?


20 aisee.....nimekua sasa mnipeeNitajisogeza hapo sio muda
Kwani ndio umefikisha miaka kumi na ngapi?


Usha paniki tayari ndio madhara ya kuwa na akili za kulazimisha kuwa mjuajimbona una hoja mufilisi sana wewe hazard? Wapi nimelazimisha watu kufuata nilichokisema?
EeeeerNimeachaa mdogo wanguu....nakunywaga tu konyagi na k vant siku hizi, pombe sigusi







ndio maana nakwambia hoja zako ni mfilisi. Unasema nimepaniki? How? Kumbe kukuuliza ni kupaniki?. Basi sawaUsha paniki tayari ndio madhara ya kuwa na akili za kulazimisha kuwa mjuaji
Koma kumzungusha kaka yangu kwenye kila banda la kitimoto!Nani kasema mimi EX?? Hatujawahi kuachana
Mi na yeye hatujawahi kula kitimoto. Ni Heineken tu. Huyo wa kitimoto atakua mwenzangu



Hivi kumbe uko hai? Nimekumiss mkuu.We kiboko..Hadi baba wa mtoto humjui?..
Napata shida sana kuzoea hilo jina la mkuu..Nipo hai mkuu..Kwa Mbowe..Missing u 2..Hivi kumbe uko hai? Nimekumiss mkuu.
Siku hizi mnaitana mkuu? Makubwa hayaNapata shida sana kuzoea hilo jina la mkuu..Nipo hai mkuu..Kwa Mbowe..Missing u 2..
Mbowe ndio nani?Napata shida sana kuzoea hilo jina la mkuu..Nipo hai mkuu..Kwa Mbowe..Missing u 2..