Happy birthday Hazardcfc

Hahahaha mkuu mimi nimeacha pombe siku hizi...nadili na nyagi tu

Halafu kwanini k vant hazileweshi nowdays?
Hahaha,

Kwani bapa sio pombe?

Hizo makitu za K-Vant zina feki zake, kuna jamaa niliona huko chugga kakamatwa na mzigo wa kutosha.

Sasa yule mwehu kwenye zile chupa sijui kajaza mkojo wa tembo yule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom