Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
kumbe sasa hapo mwanzo ulicoment nn kama hukuumizwa?siwezi kuumizwa na shobo za wauza sura mkuu
kumbe sasa hapo mwanzo ulicoment nn kama hukuumizwa?siwezi kuumizwa na shobo za wauza sura mkuu
Chocolate milk Hazard.Thanks paula..... unakunywaga nini wew niandae kabisa ndio nafanya manunuzi hapa
UmepataaChocolate milk Hazard.
Thank you.
Wacha bwana!! Nikajua umeacha pombe kumbe hayo tuNimefukuzwa kazi
Demu kaniacha
Nimetapeliwa
N.k

Nimeachaa mdogo wanguu....nakunywaga tu konyagi na k vant siku hizi, pombe sigusiHappy birthday bro.... Chapombe![]()
Huyo ndio mfariji pekee...maisha yafaa nini bila pombe??Wacha bwana!! Nikajua umeacha pombe kumbe hayo tu![]()
Basi swaaa, faraja njema.Huyo ndio mfariji pekee...maisha yafaa nini bila pombe??
umetumia kipimo gani kupima hisia za moyo wangu ukagundua nimeumia? inamaana kila atakae kuwa kinyume na mawazo yenu basi mnachukulia kwamba kaumia?kumbe sasa hapo mwanzo ulicoment nn kama hukuumizwa?
Mbona kinyongee? Unataka niacheeBasi swaaa, faraja njema.
Sio kuwa uko kinyume ila nikujalibu kulazimisha ya kwako yawe ya watu wengneumetumia kipimo gani kupima hisia za moyo wangu ukagundua nimeumia? inamaana kila atakae kuwa kinyume na mawazo yenu basi mnachukulia kwamba kaumia?
Endelea tu.Mbona kinyongee? Unataka niachee
Daaaaaah....Endelea tu.
Hahahaha tengua kauliii lv.....kijana mnywajiiiiiHappy birthday kijana mlevi Hazard CFC
Hahahaha tengua kauliii lv.....kijana mnywajiiiii
Asantee sanaa na karibu sana pande hizi
mbona una hoja mufilisi sana wewe hazard? Wapi nimelazimisha watu kufuata nilichokisema?Sio kuwa uko kinyume ila nikujalibu kulazimisha ya kwako yawe ya watu wengne
Hatuna haja ya kutafuta kipimo ila tunatumia ulicho kiandika
Najisogeza tabataHahahah haya kijana mnywaji
Uko pande zipi nikitoka hapa nije
Hazard tena mkuumbona una hoja mufilisi sana wewe hazard? Wapi nimelazimisha watu kufuata nilichokisema?



Nitajisogeza hapo sio mudaNajisogeza tabata