ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
hahahha kwa raha zetu leoNaona uwanja ulikuwa wenu eeh
hahahha kwa raha zetu leoNaona uwanja ulikuwa wenu eeh
urudi bana imetosha sasaBado siku 7 tu usijal narudi hahaha
sijawah sikia mtu kajihukumuna huyo anaemficha ole wake
urudi bana imetosha sasa.
basi ntafte
sijawah sikia mtu kajihukumu
sijawahi labda wale wanaojinyonga.
























yaani nimecheka hapa nilipoHBD ostadhatDuuh. Pole sana Mkuu.
Umeogopa nini sasa?
Mmh. Mbalizi. Yani herufi tatu tu. Lol
Ahsante sana Mbalizi.![]()
![]()
![]()
Nimeisaka hadi nimeiona hii
Thread yako ndo nmeiona leo, vipi kiporo cha keki kimebaki badae nije nikipige futari?Ahsante. Ila sio kwa kuchelewa huko jamaani Lol.

Duuh! Sawa.
Ndio imebakia baada ya Futari we karibia tu ipo.
ok badae nitakufata pm unielekeze homNilienda kuisaka baana, daaaah!Uwiiii. Pole bana Mbalizi kumbe ulienda kuisaka.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa hiyo vp wakat umeiblock pm yako teh tehHahahaaaa. Lol.
Sawa.
Jihukum sasa unacheka niniyaani nimecheka hapa nilipo
Duuh kumbe hajar umeenda age,yan huyu jamaa ni mdogo kwako!!! shikamo aisee!!Hahahaaa. Mnanichekesha mjue wadogo zangu lol.
![]()
![]()
![]()
Duuuh Basi hiyo picha yako unaonekana kama kabinti ka 20yrs hivi. Afu kama msomali msomaliHahahaaaa. Marhabaaaaaa. Mie mtu mzima atiii.
Tena huyo ndio wa mwisho aiseee.
Duuh! Kula vizuri tu na kujitunza basi Uzee tunausikia kwa majirani.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wacha weee,tupe siri zingine na sisi wa 20yrs tupitie nyayo zako