Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Kaingia mitini
Kaingia mitini
Ndio Swahiba umeila. Ila unajua nacheka nini kuna mtu alisema nimtumie cake Pm sasa ulivyoisifia hivi lazima anidai sababu haikutosha kumpatia.
![]()
![]()
![]()
![]()

Akichelewa itabidi kaka yako Mwifwa amjibieAtakuja tu.![]()
![]()
![]()
Wee ni jeshi la mtu mmoja eeh Shunie?Hahhaha wa kuniteka mm hakuna ndugu yangu
You people made my daynakupenda pia dada akee usijali tupo pamoja
Tende na Halua Zilikuwepo?Umeonaeeee.
Ngoja kajua kapoe poe uje dada ake. Karibu.
Hahahaaa. Mnanichekesha mjue wadogo zangu lol.
![]()
![]()
![]()
Hahahaaaa. Marhabaaaaaa. Mie mtu mzima atiii.
Tena huyo ndio wa mwisho aiseee.
Duuuh Basi hiyo picha yako unaonekana kama kabinti ka 20yrs hivi. Afu kama msomali msomali

HahahahaaaaaHajar yaelekea kina Mwifa na Ukhuty wamepokea barua nyingi sana za posa yako, sasa sijui wameshafanya maamuzi ili tujiandae kula ubwabwa
duh hatari lugha gongana.......![]()
![]()
wakuu vip?
Aamin InshaallahInshaallah utafika October hii na nyingine nyiiiiiingi sana, Mungu Akuweke Madame S
Ubwabwa tunakula kila siku labda useme plau banaHebu nikuulize swali Ukhuty, kwa malezi mazuri mliyopewa na wazazi wenu hapo nyumbani wewe na Mwifwa si mnapokea barua za posa za Hajar kila siku hadi mnachoka? Sasa bado tu hajafanya maamuzi watu waje kula ubwabwa?
Hilo swali linahitaji kikao halafu msemaji wa familia ndio atatoa jibu baada ya maafikiano ya kikaoAkichelewa itabidi kaka yako Mwifwa amjibie
Ni kweli kabisa maana bibi Zari bado yupo matawi ya juu japo ni muhengaHahahaaa. Ndio ukweli mdogo wangu.
Sio mtu hali vizuri na mwili hajui kuutunza halafu analalamika anazeeka. Utaachaje kuzeeka sasa hapo Mdogo wangu.
ukhuty njoo nimeongezea nyama. Hahahaaaa.
Happy to u mkuu haya mengine mwachie mzee jogoo.....![]()
![]()
![]()
Mie nmecheka hayo Meno ya kuku tu Mkuu.
Hiyo najua hajawahi kuila maana pilau najua kashawahiHahahaaaa. Wacha weeee.
Mwifwa jamaani eti Plau. Lol.![]()
![]()
Happy birthday to u mkuu haya mengine mwachie mzee jogoo.....![]()
![]()
![]()
Mie nmecheka hayo Meno ya kuku tu Mkuu.
Tena akipambanishwa kwenye umiss na wale ambao bado hawajawahi kuzaa, atawafunika kwa ushindiUmeonaeee na ana watoto 05 pale sijui 06 ila akiwekwa na wale wasio na watoto bado anawapiga bao.![]()
![]()
![]()
![]()