figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,180
mpaka hapo keki
ushaikosa,hua tunaselebuka kweli
na maakuli ya kufa mtu!!
hahahaaa...!!. inaonekana Kaizer alikua kalala. mia
Last edited by a moderator:
mpaka hapo keki
ushaikosa,hua tunaselebuka kweli
na maakuli ya kufa mtu!!
asante sana kaka yangu. umepotelea wapi siku hizi huonekani kitaa?. mia
Nipo sana kitaa ila mkoloni anatyt kshenzi.
kwani upo dar? mia
Daughter Passion Lady, hivi umeijuaje besidei ya kuzaliwa ya huyu mzee wa mia?
Happy Birthday figganigga
dady!!!!!!? he z my gud friend
pia ni collagemate wangu huyo!!
Mi nipeni bia tu si zipo bado:yell:
BEST HAPPY BIRTHDAY SONG - YouTube
Happy birthday to u
furahia siku yako ya kuzaliwa, nakutakia maisha mema na yenye baraka tele!
Yes nipo Dar
​mmmhhh!!!hahaaa..!!. natisha sana. i run kiembe mbuzi n ununio. mia
​bora umtoe wasi2 my dady!!huyu Passion Lady tumetoka mbali sana. ni rafiki yangu mkubwa na dada yangu pia. mia
kanigezea tu huyo
with love & joy yangu lol!!
tuseme miaka yote ulikua hujamwambia?. mia