Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Kwa kweli ni jambo jema naamini hajambo...hope nawe wako hajambo eeh?Mie mzima shemu vipi umpendae hajambo?
Kwa kweli ni jambo jema naamini hajambo...hope nawe wako hajambo eeh?Mie mzima shemu vipi umpendae hajambo?
Happy Birthday FiggaNigga !!!
"Nakutakia ~Maisha ~Marefu"
asante sana dada yangu. habari za siku nyingi?. kwa manoah twende lini?. mia
Happy birthday figganigga
Happy birthday
Happy birthday figganigga
ni full mkuu.asante sana mkuu. vipi hali lakini?. mia
pamoja sana dada yangu. vipi mipango yako ushamaliza? angalia wasiwaxhakachue! hahahaaa..!! mia
haijaisha kaka. Dah niko makini. Hahaha
Nakuombea mungu akubariki na siku moja usherehekee besidei yako ya mia.
Happy Birthdei my Dia. From Care wit' Luv.
Happy bday figganigga..
Live Long bwa' shem, milove kibao kwako
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
haijaisha kaka. Dah niko makini. Hahaha
mzee wa mia happy birthday leo ni siku ya furaha maana Mungu aliona ni vema uje duniani