figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,179
Happy Birthday figganigga my best friend. Bora umekua utaanza kuyaona.
asante mkuu. vipi kinana baridi unakunywa nikufanyie mpango?. mia
Last edited by a moderator:
Happy Birthday figganigga my best friend. Bora umekua utaanza kuyaona.
Nkpata tyme ntakucheck
Kabisa laaziz
Happy b'day totoo, ukuee
Dah HBD mkuu kunampunga nije na nani?pendekeza majina yakike!
Happy birthday figganigga
asante sana mkuu. habari za kupotea?. mia
Sijapotea, huwa nipo ila tunapishana tu humu ndani....wewe ukiwa juu mimi nakuwa chini, wewe ukiwa kushoto mimi nakuwa kulia, wewe ukiwa ukanda wa kati mimi nakuwa ukanda wa kusini....basi tena tunakuwa hatuonani
nimepapenda thana. vilevile panaweza pakafanya ning'olewe kucha na meno. nimefurahi kukuona tena tukiwa zero distance. karibu sana. mia
​aaakhuuu!!staki walitakia nini?he nipe kadi lako la kliniki kwanza
wakola waitu. akaisiki kayanga kaija. mbwenu waba utakumanya kotugonzangana?..hahahaaaaaa....!!!. mia
Nimekaribia, si unaona hapa wewe uko kula chini mie niko huku juuu ndio maana kuonana inakuwa ngumu ila basi tujitahidi tuonane tusipoteane sana
Happy birthday best...