happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday dear figganigga
happy birthday to you
:A S kiss:
asante sana 😛izza:😛izza:😛izza:😛izza:😛izza:😛izza:😛izza::smash::smash:mdogo wangu[/SIZE]. mia
una ng'aka ng'aka nini? kwani umeshazalia? utazaliwa mwezi wa ngapi? miakhaaaaaa
una ng'aka ng'aka nini? kwani umeshazalia? utazaliwa mwezi wa ngapi? mia
usijali mia lazima uje ucheze kiduku
Happy bday figaniga..
Mia..hahaa
a bit late ila hope umeinjoy
Happy bday mzee wa mia. Ujiongeze basi walau uwe wa alfu jmeni, inflation hauioni? Afu ulale ukue basi eeh
mkuu nshaamka. huku kwetu tunaiwahi foleni. wengine watu wa Mungu, yatupasa kupitia church kwanza. mia
Duuuh. Usiniambie ndo kumekucha!!!
Sasa morning glory si inakupita fyuuuu! Hongera bwana.ibada njema.
mkuu mbona nikireply pm inagoma? au kunani?. miaHappy Birthday figganigga