Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,275
- 108,278
Daughter Passion Lady, hivi umeijuaje besidei ya kuzaliwa ya huyu mzee wa mia?
Last edited by a moderator:
Mungu akujalie kila utakalo. mia
Daughter Passion Lady, hivi umeijuaje besidei ya kuzaliwa ya huyu mzee wa mia?
dady mbona umecheka?Hahahah...
mpaka hapo keki
ushaikosa,hua tunaselebuka kweli
na maakuli ya kufa mtu!!
Daughter Passion Lady, hivi umeijuaje besidei ya kuzaliwa ya huyu mzee wa mia?
Mi nipeni bia tu si zipo bado:yell:
Happy birthday Figganigga. We share the same birth date!
Hapy birthday bro,tumepishana cku tatu mi keshokutwa ndo nazaliwa.mia
Long Live Kamanda figganigga.mia
Thanks.Siku hiz ur a gentleman
Happy Birthday figganigga