Happy birthday rais wangu wa moyoni Edward Ngoyai Lowassa.
Mungu akupe maisha marefu, afya njema na moyo wako huohuo wa kutukomboa Watanzania kutoka kwenye umasikini unaotutafuna hivi sasa.
Pia nakuombea ushindi wa kishindo hapo October huku mimi pia nikiwa ni mmoja kati ya watakaosababisha ushindi wako kwani kura yangu ni kwako.
Unayesumbuliwa na maradhi ni wewe. Kwani wewe hujioni. Hebu cheki picha yako, utafikiri libibi la miaka sabini. Mama mzima lakini hovyo. Shame on you!!!
Nnaona yamekuingia, rudia...
Mbona anaokena ni mzee sana? Kumbe ni wa 1953 tu?
Anasumbuliwa na maradhi gani yanayomfanya aonekane kama mtu wa miaka 90?