Happy Birthday Depal

miss paul laswai debra.... sijajua kama kumbukumbu zangu zipo vizuri niliona jina lako mahali.. ishi sanaaa
 
Kuna bazazi kule juu amesema atamhonga RangeRover Sports..... Ananikata stimu kweli😂

Natamani kumuona binti alivyo walah maana namsoma tu
Mi sio bazazi ni KIDUME mkuu💩

😠😠😠

We unamwonaje depal
 
Kwa hiyo ulijua kabisa dadako sina hata mia ya kukununulia kamvinyo
sio??
Anyway unajua dadako nakupenda hivyo hivyo na maringo yako

Nakutakia maisha yenye mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za kimaisha, zaidi sana upate maheraaa nikija A town tuishi


HBD mrembo wangu@Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…