chief, welcome BAcKNipo Mkuu enjoy your special day with members of your family, relatives and friends. May God bless you with more.

Aaaahhh basi sawa, hakijaalibika kitu mtalaam!!Hahah nimeona kuna sehemu umekuja kuniswaga kabisa.......... Nilipata dharula kidogo ndio maana sikuwa kwa wakati
Ewaaa nahuo ndo Ukomavu Boss wangu !!Nikweli boss huwezi kutupwa na wote
Hahahaha kabisa ChiefHahahah!
Nikashangaa et jamaa, akawa kasusa Wishes zetu.Nipo Mkuu enjoy your special day with members of your family, relatives and friends. May God bless you with more.
Hahah! Sawa boss ila ipo siku uitawishiwa tu ni swala la mudaAaaahhh basi sawa, hakijaalibika kitu mtalaam!!
Siku nyingine haabr kam izi njema uwe Nazo active.
Mie sijawahi wishiwa na mdada wa JF km ww ivi
Kwa niaba yake, nmepokea haya mabusu Ledada
Ni nini hiki bebe? Hahahah sioni emoj ujue
Izi zakufos zinakosaga mzuka.Hahah! Sawa boss ila ipo siku uitawishiwa tu ni swala la muda
Mdada kama anavyojiita Ledada, anaonekana nilidada bonge ivi, litamuuu. Limejaa jaa, linadeka yaaan uwiiHakika mkuuEwaaa nahuo ndo Ukomavu Boss wangu !!
Mtu mmoja anaitwa Nick Vujicic anasema " outside there, therz someone who love you, believe you, Trust you ,simply because the way you are "
Sawa dear, zile emoj zikae hapaNdio naelewa hata usijali my dia
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Kwa niaba yake, nmepokea haya mabusu Ledada
Ewaaaaaaaa mambo ndo hayoooo !!!Hakika mkuu