Happy Birthday Davet[emoji847]

Ujumbe wa putin ni huu

"Siku ulizaliwa tu. ulilia na walokuzunguka walicheka,,, siku ukiaga dunia.,, utakua kimya, then walokuxunguka watalia".
 
Nilikuwa sitaki kabisa kukomenti hapa
HBD M catalunya mwenzangu but I neva soo iti kaming furomu ledada
The world is full of surprises
Hahahah ledada ulikua unamuuliza kila siku anaruka ruka ila taratibu unamuona anazidi kujaa tu....

Asante sana Mkatalunya, Mungu azidi kutuweka tushuhudie maajabu ya kiumbe wa ajabu kwenye ulimwengu wa soccer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom