Mzee baba, chukulia poaa, Nina miezi kibao sijapigwa mabusu na mtoto wakike😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀




Asante sana mdada, tuishi miaka mingi soteHappy bilated birth date Mkaka, uishi miaka mingi yenye full baraka,![]()
Mnionee huruma jaman, yangu kesho uwiiiii daaaaaahHappy bilated birth date Mkaka, uishi miaka mingi yenye full baraka,![]()
Mwenyewe tu labda upo bize sana ndio maanaMzee baba, chukulia poaa, Nina miezi kibao sijapigwa mabusu na mtoto wakike
Mpaka najiuliza, nisababu vyuma vimenikazia![]()
Umeadimika sanaaaaAmeeeen Chwiti Lii wetu. Nashukuru
Mwanangu umechanjiwa huyu @financial ni bonge la kisu mkuu.Asante sana mdada, tuishi miaka mingi sote



Kuna mmoja huku kitaa alinambiaga Putin una msura mbovuMwenyewe tu labda upo bize sana ndio maana



Nikweli tumepoteana mpendwa wangu, tena kama kijiwe chetu kile kimejaa vumbi kabisaUmeadimika sanaaaa
Hujawahi kusikia ile kauli ya mwanaume hasifiwi sura mkuu?Kuna mmoja huku kitaa alinambiaga Putin una msura mbovu
Sasa nataka, nikibatisha ,NATULIA KABISAA...
Tafuta mkuu ukisoma hautatamani hayo mamboinabdi niutafute aiseee niupitie
Nikweli tumepoteana mpendwa wangu, tena kama kijiwe chetu kile kimejaa vumbi kabisa




umegoma kukifanyia usafi kabisaumegoma kukifanyia usafi kabisa
Mzee babu.... Yangu imezidi..niiv najikubal tuHujawahi kusikia ile kauli ya mwanaume hasifiwi sura mkuu?
Hahahaha sawa sawa mkuuTafuta mkuu ukisoma hautatamani hayo mambo
Hahaha naona tunategeana tu, ila poa mimi nitakubali unyonge nitafanyia usafi



