Happy Birthday Davet[emoji847]

Happy Birthday Davet[emoji847]

Daah aliyemficha davet shuuaiin zake mpaka keki yangu hapo inaanza yeyuka. Hawa a u mjukuu wangu in andjul's voice
Hahahah sikufichwa bhana, nyie simliniambia nirudishe simu ya watu
 
Kawaida yake hiyo. Unafikiri kuzinduliwa mchezo? Inabidi uwe na roho ngumu espeshale kama ulikuwa umefanya daivesifikesheni ofu yua investimentisi (ifu yu no whataimini). Atarudi tu na maneno kibao
#BringBackBaeWaUzi#
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀........ Mixer Hashtag daah
 
Aaah kumbe uliirudisha aisee nimekosa uhondo nilishaajiri bwana hacker aje apekue tupate picha kamili ya mhusika
Hahahah sikufichwa bhana, nyie simliniambia nirudishe simu ya watu
 
Ninge na Carb walinishikia bango kuhusu ile Beaut plus nikaona isiwe taba wacha nirudi kwenye kitochi changu
Aaah kumbe uliirudisha aisee nimekosa uhondo nilishaajiri bwana hacker aje apekue tupate picha kamili ya mhusika
 
camera gani ile ilipoteza hata uhalisia wa jeans bora umeirudisha
Ninge na Carb walinishikia bango kuhusu ile Beaut plus nikaona isiwe taba wacha nirudi kwenye kitochi changu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom