Happy Birthday Davet[emoji847]

ledada

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
15,452
58,445
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata nashukuru kwa hilo kipenzi and your always there kila ninapokuhitaji ahsante.

Mwenyezi Mungu akubariki,akupe maisha marefu na mazuri. Nakupenda sana

Happy Birthday once again Babe. Have a blast.
Davet
 
Kheri ya kuzaliwa mkuu aliye juu akuongezee miaka kadhaa uendelee kupiga matonge
 
Aiseee mkuu, uishi Miaka 93 !! .

Upate watoto 4.

Wajukuu 18

Vitukuu 9.

Vinyanya 2

Mkiambiwa mzae sana, mnaona ohooooo !! Ona sasa !!!

Mpaka unasepa una uzao wa watu 33
 
46709359_123114908705341_2872857398053695106_n.jpg
Happy birthday davet
 

Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom