Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 37,132
- 88,974
Umejuaje? ๐๐๐ushagida hanson's choice hapo unayumba tu
Nipo najiandaa kumuimbia happy birthday song coca
Umejuaje? ๐๐๐ushagida hanson's choice hapo unayumba tu
J mzee wa sales & marketing ๐๐๐Kama j?๐๐
Atakula kisago cha MWANA UKOME ๐๐Ninekupa wizo tena umzabue kuliko aliyozabuliwa sentro ๐๐๐๐
Sentro tena? Nani huyo?๐Ninekupa wizo tena umzabue kuliko aliyozabuliwa sentro ๐๐๐๐
Huyo hansons choice sio level yake, yupo kwenye level za moetushagida hanson's choice hapo unayumba tu
Tena umkanyage bichwa lake gumu linalopenda kujiita millionaire wkt pesa ya kuwapa polisi atoke kituoni alikosa ๐๐๐๐Atakula kisago cha MWANA UKOME ๐๐
Siku hizi umekuwa BWABWA? ๐๐ makubwa!!! Unataka ujiunge? ๐๐๐ Form ya kujiunga inauzwa LAKI.Chama chenu nyie watu wa lgbt
Pisi kali? Mkufu hausimami hata ulishwe pweza๐๐Mmeanza wahala ๐๐๐
Udugu wangu ni pisi kali km hamtaki mjinyonge
Mr mitraako ๐๐๐Sentro tena? Nani huyo?๐
๐๐๐๐๐๐๐๐ ntamsigina haswa, mabaki yake ntakuletea kwenye kikapu uyachome moto ๐๐Tena umkanyage bichwa lake gumu linalopenda kujiita millionaire wkt pesa ya kuwapa polisi atoke kituoni alikosa ๐๐๐๐
Mm nadhani unanijua huna sinaga dogo๐๐๐Siku hizi umekuwa BWABWA? ๐๐ makubwa!!! Unataka ujiunge? ๐๐๐ Form ya kujiunga inauzwa LAKI.
Kwendraaa ๐๐๐Pisi kali? Mkufu hausimami hata ulishwe pweza๐๐
๐๐๐๐ Tulipige virungu vya ugoko๐๐๐๐๐๐๐๐ ntamsigina haswa, mabaki yake ntakuletea kwenye kikapu uyachome moto ๐๐
Wala halinitesi. Ila nimeona umetumia "Her" vibayaHilo nalo linakutesa???
Doh
Hatari sana kijana huyu๐J mzee wa sales & marketing ๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃHuyo hansons choice sio level yake, yupo kwenye level za moet