Happy birthday cocastic

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wizo nakutakia mema bhana!!
Nataka uwe unalizabua mikofi liache uongo na kiherehere
Unataka niende jela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mi nazabua mikofi haswa na usiombe nikuzabue mikofi ya wowowo πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ jela itahusika tena ntapelekwa jela ya mashangazi akii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Unataka niende jela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mi nazabua mikofi haswa na usiombe nikuzabue mikofi ya wowowo πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ jela itahusika tena ntapelekwa jela ya mashangazi akii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wizo bhana unanichekeshaga sana!!
Mi nataka umzabue mr mabakuli hiyo mikofi aache upopoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom