Inaitwa double punch 😂😂😂Ile Michano sio poaah.. Imesambaratishajeeee😊
Udugu zawadi anatoa cantry ndio namsikilizia hapa tukujaze 😂😂😂Uduguu
Kwann lakiniiii? Hebu niletee zawadii.
kumbe anajuaga mie ndo coca, mwehu kweli
Afu asichojua coca ni pisi kali, wakati mie ni mshangaziii, wapi na wapiiiiii
Imemkimbiza babu mpk leo haonekani 😂😂😂Noumaaa nanusuuuu 🤠
Enjoy to the fullest shosss 😘wewe treinaaahhhh! Hunaga baya na mtu best akee!Shouzzz@Antonnia
Ahsantee sana kwa kuni wish ktk siku hii muhimu kwangu, sijutii kukufahamu, nafurahi kuwa na rafiki, shougaa, mkaribuu, uduguu, mwayaa, shostitooo km weweee.
, mie nawee 4reverrrr,
Barikiwa sanaaa,
Ahsanteee sanaa Gran pah!!Angekuwa anaweza shughuli za shambani, Babu yake nina zawadi ya ekari 5 za shamba aje alime
Kwa kuwa ni mpenzi wa Togwa, leo kuna lita 8 kwaajili yako
Heri ya Kuzaliwa Mjukuu wangu Machachali cocastic , Mwenyezi Mungu akupe hitaji la Moyo wako
Ahsantee
Ila coca bana, kwa hiyo ndio umekuja sasa hivi?Ahsanteee!!!
Huyo aliekufungia leo ndio kakuachia saivi mfyuuu
Cake tunakata villa park mawasilianoHappy birthday my baby Sis Coca, cake tunakata wapi sasa?