happy birthday christine ibrahim

happy birthday christine ibrahim

ooh Lord! !!!im humbled, speechless! !!

Thanks mokoyo for this.

Napenda kutumia fursa hii, kwanza kumshukuru Mungu aliyenitoa mbali.
amejibu maombi yangu kwakweli! !!

pili wazaz wangu kwa malezi yao, nawaombea kwa Mungu awabariki! !

pia ndugu jamaa na marafiki ndani na nje ya jf kwa namna moja au nyingine najua tunategemeana kwa mengi,
tusameheane tulipokoseana and tuanze upya.

nawapenda wana mmu nimejifunza mengi kupitia jukwaa hili na jf kiujumla

thanks again
Xtine ibrahim
 
Ameeeni. Be blessed

Christine Ibrahim

Hongera sana kwa kuzaliwa upya leo.
Uishi maisha marefu sana.
 
ooh Lord! !!!im humbled, speechless! !!

Thanks mokoyo for this.

Napenda kutumia fursa hii, kwanza kumshukuru Mungu aliyenitoa mbali.
amejibu maombi yangu kwakweli! !!

pili wazaz wangu kwa malezi yao, nawaombea kwa Mungu awabariki! !

pia ndugu jamaa na marafiki ndani na nje ya jf kwa namna moja au nyingine najua tunategemeana kwa mengi,
tusameheane tulipokoseana and tuanze upya.

nawapenda wana mmu nimejifunza mengi kupitia jukwaa hili na jf kiujumla

thanks again
Xtine ibrahim

Happy Birthday! My christine ibrahim ....
 
Ahsante sana dada yangu rafiki yangu Ablessed nawe nakuombea ubarikiwe sana kila ukitakacho katika hizi siku chache zilizobaki za 2013 na miaka yote ijayo kifanikiwe kirahisi na kwa kiwango cha juu sana. Ila uliniacha na wasiwasi mkubwa sana, tafadhali sana upatapo ujumbe huu nakuomba sana uniPM, shukrani.

Merry Christmas bro barikiwa sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom