Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
miss chagga hebu njoo huku umjibu mwallu eti anauliza police huwa kuna makosi
Kaka yako Ntuzu mwenyewe hajatulia
binamu jibu swali!!mi nasubiri jibu!!
miss chagga hebu njoo huku umjibu mwallu eti anauliza police huwa kuna makosi
Kaka yako Ntuzu mwenyewe hajatulia
sawa mume wangu Mr Rocky nakusikiliza wewe tu
mwallu wewe kaka yako huyu Ntuzu nimemvumilia sana uzuri sikuwahi mpa papuchi... anapenda wanawake hasa wenye makalio makubwa akikatiza tu shingo yake nayo inaenda ni hatari sana huyu kijana .... afadhali tuameniacha kwa sababu roho yangu ilikuwa juu kama antena.... Mr Rocky barafu wa moyo wangu... moyo wngu umetulia kabisa hauna presha
We nawe!!!!! Mfungulie kisredi kabisa, mutuache sie!!!
Passion Lady my only and only wife ni miss chagga hao wengine sijui wametoka wapi
Now nimekuwa mwema nina mke mmoja tuu na wala sina nyumba ndogo
sijui ila naanza kupata utata Mr Rocky njoo nijibu hapa nataka kubeba meza kichwani
kwani miss chagga we ni
mke wa pili wa Mr Rocky au?sielewei!
My dear wife miss chagga achana na hao wasiopenda meli yetu ielee wanaleta maneno yao huku
Mi love you sana my wife na nakuhakikishia hakuna kama wewe
hao akina Mamndenyina Passion Lady wanaongea tuu hawajui tumevuka vingapi mpaka kufika hapa
Heee,
Yaani kile kichumi alichoingia wakati ule unataka akaiingie tena leo?
mmmm.