Happy Birthday Bestito Passion Lady

Happy Birthday Bestito Passion Lady

mlevi-704x400.jpg


Haya haya... Birthday party ndio inaisha hivyoooo.... watu wako keroro mbraaaayaaaa!!! Huyu hapo ni Mndengereko yuko vyupa....
 
Last edited by a moderator:
AMINA shemeji yetu Ntuzu , Kitu kizuri kula na ndugu yako Mr Rocky bhana.

Niungane na jamii yetu ya JF kumtakia kheri na baraka tele mpendwa wetu Passion Lady. Mungu azidi kukuinua na kuleta wepesi katika yale yote unayoyaendea kwa utukufu wa Jina lake.

That it is!

Heri ya kuzaliwa dada Yangu mpendwa na rafiki Passion Lady

Nakutakia maisha marefu na yenye furaha na Amani na mafanikio!

Kwaniamba ya TeamRafiki niwaalike Marshall Zaidi ktk Tarehe hii nzuri ya kuzaliwa Passion Lady

Cc: Mr Rocky Shemeji, Tized OLESAIDIMU utafiti sungura1980 Mndengereko Mokoyo mwallu miss neddy miss chagga charminglady Heaven on Earth tian Annie anne Kaunga Mentor Shemeji Mr and Mrs ( Matola lara 1 ) Eiyer kaizar Karucee etc all!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom