moyo unauma sana jua nakupenda lakini.... Ntuzu mwone ndiyo maana nilikuacha
nakupenda sana miss chagga wala usiwasikilize hawa Mamndenyi na Ntuzu na Passion Lady ambao hawapendi kutuona tukiwa pamoja
Last edited by a moderator:
moyo unauma sana jua nakupenda lakini.... Ntuzu mwone ndiyo maana nilikuacha
nakupenda sana miss chagga wala usiwasikilize hawa Mamndenyi na Ntuzu na Passion Lady ambao hawapendi kutuona tukiwa pamoja
happy birthday passion lady, may god bless you with wisdom!
Thank you mrs ntuzu ( ladyfurahia ) for the information!
Happy belated birthday dear.
happy belated bestie
Mr Rocky moyo wangu mimi mweee akili mawazo yangu yote kwako kumbe ni utapeli....
Mmmmmh moyo wauma kweli Maana ulivyo mweupe?!!!!
my wiii usiwasikilize watu wanaopenda kugombanisha wanataka kukuondolea bure tunda lako huyo binamu yangu ana mtu yeyote wao wanajipendekeza kwake si wanaona sasa yuko juu ndo maana wanajipendekeza ACHANA NAO KABISA WLA USIJALI
Walikuwa wapi kipindi kile alivyokuwa choka mbaya?
ahaaaa kumbe ndivyo ulivyo nimeona bila kuambiwa hapa
asante sana
Afadhali umekuja binamu yangu uniteteteee maana hawa akina Mamndenyi na Passion Lady na Ntuzu wanataka kuniharibia hapa
Wanaona nafaidi sana kuwa na miss chagga wanataka kuweka mchanga hapa kwenye sukari yangu ya moyo
Bora binamu ladyfurahia umekuja unitie joto hapa
hawa watu hawapendi kabisa maendeleo ya watu
sikuongeleshi
Teh Teh Teh Teh
Mr Rocky haungeleshwi!
Bora Mimi niko na luv wangu ladyfurahia
ladyfurahia luv u so much!
Mwone ndio maana nimekuacha