Ntaitumia kwa ladyfurahia tu lkn si kwako!
Mmmmmmh ila miss chagga weupe wako naukumbuka?! Kah! Yani ata ktk Giza ulikuwa unawaka!
Huo Ndio ukweli laazizi Kwani wewe hufamu?
Hongera dia uishi miaka mingi hapa chini ya jua.
usimlazimishe kufahamu kichwa chako
Huo Ndio ukweli laazizi Kwani wewe hufamu?
unataka nikufanyie nini sasa kwa mambo unayonifanyia bestito?
Sio Mimi.
oky bora umejitambua mapema na kusema sio wewe
basi funga mdomo wako usiniharibie jina langu hp mjengoni
elewa kuwa mm ni KOMANDOO niliyesheheni kila idara
na bado nikimwita kamanda wetu au amiri jeshi mkuu
huyu wa katikati hapo View attachment 167140
mbona utanyooka wewe