Happy Birhtday figganigga & Bily

Hahahahaaaaaaa.......mwana mpotevu. Kweli leo ni siku kuu. Hadi wewe umeibuka?. karibu sana Vin. Heaven on Earth anajua wapi apendwa so take it easy. Yaani mi kutoka kidogo nasikia ukaanza mpigia pigia simu. Waheshimu shemeji zako. Mia

Nimeibuka mkuu..hii post ya 'my wife wangu' imenitoa chimbo.
Kuna haja ya kumuita Hoe aje afanye uchaguzi mbele ya kadamnasi...hakawii kutuchanganya
 
Nimeibuka mkuu..hii post ya 'my wife wangu' imenitoa chimbo.
Kuna haja ya kumuita Hoe aje afanye uchaguzi mbele ya kadamnasi...hakawii kutuchanganya

Acha kumchanganya mke wangu. Mbona hakujui wala hajawahi kukuona kasema? au wataka tugombanisha? uchonganishi acha sawa sawa?. mia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…