Asante dada yangu ladyfurahia. Habari za siku nyingi? Karibu nyumbani tena. Miss you much. Mia
mkuu figganigga happy bday, itabidi tutafutane nikupe zawadi zako za bday, hahahaa...... Mia
hahaha sio hivyo eli nilimuadd kobun kama rafiki kwenye list yangu nashangaa imebadilika now inasomeka kama figganigga
nichukue fursa hii kumtakia heri kwenye siku yake ya kuzaliwa
mzee wa mia figganigga pamoja na billy. Ashukuriwe Mungu
kwa neema yake na wabarikiwe mama waliekuleteni duniani na
kukukuzeni kwa malezi bora mpaka hapo.
mwenyezi Mungu awalinde na kuwapa afya njema HAPPY BIRTHDAY
Hongereni sana wakuu figganigga & billy. Nawatakia kheri na mafanikio zaidi kiafya na kimaisha. Cheers!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Happy birthday nyie jamaa (figganigga & Billy) , let God bless u all!