Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Duu this ninja kitambo sana no see him figganigga
nichukue fursa hii kumtakia heri kwenye siku yake ya kuzaliwa
mzee wa mia figganigga pamoja na billy. Ashukuriwe Mungu
kwa neema yake na wabarikiwe mama waliekuleteni duniani na
kukukuzeni kwa malezi bora mpaka hapo.
mwenyezi Mungu awalinde na kuwapa afya njema HAPPY BIRTHDAY
happy birthday bestito figganigga Mungu akupe afya njema na uishi miaka mingi 100 ijayo
Happy bithday tu yuu...
happy birthday to you ... mbarikiwe
happy birthday mia man