Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Hapo nimesalute mwenzangu, kwanza huyo ana stress na hasira na hii jinsia akinikamata si nitaokotwa muhimbili!!
Jamani atoto mbona sina bifu na nyie aisee...mi napenda tu uwazi siku hizi...unataka nini na mimi nataka nini! maisha ni very simple kuliko kudanganyana don't you think mamii!???
Katika habari nyingine: kam zis wei tuongelee 'ishu' flani hivi niliona ukiidiskasi mahali!
Last edited by a moderator: