Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
unataka tukufahamu mbona kazi ndogo tuma picha yako na mali unazomiliki hapo utakuwa free kuwaona wengine na kuwafahamu
Hahaaaaa!! Hapo pa mali nimepapenda.
unataka tukufahamu mbona kazi ndogo tuma picha yako na mali unazomiliki hapo utakuwa free kuwaona wengine na kuwafahamu
ha ha ha itabid abust kama betri ya MANDOLINI
ongea tuu dawa yako nakufungia stoo wewe sio wa uninyima raha
Eti sina nguvu.....😀
Ni miaka kadhaa siku kama ya leo nderemo za furaha kwa mama na baba mwekundu kumzaa mtto wao kipenz
am happy and u know that mwekundu ,wish u happy bday my love![]()
I always pray all your birthday dreams and wishes come true.
May your birthday be filled with sunshine, smiles, laughter, love, lowers and cheer.
mwekundu you have to know that Youre older today than yesterday but younger than tomorrow,
lets celebrate my dia friend mpambe wa mtoto leo mashaxiso(ila usinywe maziwa ya mtoto teh teh )mashemeji Kaizer babu Asprin , best yagu Tized
shost zangu vallentina uje na mumeo Nyani Ngabu charty miss chagga uje na Mr Rocky ha ha ha Honey Faith atoto na wengine wote mnakaribishwa sherehe hii ipo open space kiingilio miguu yako
mabazazi zake mwekundu mje mpole mpole ha ha ha kwa maana leo anarudisha kadi ya bazazi
ni furaha yetu tusikie lenu neno kwa huyu mtoto aliayeacha ubazazi Watu8 , BAK Excel Ruttashobolwa Eiyer Eli79
Mokoyo nakuombea uendlee na kampani zako na huu uzi uone Kama jukwaa la mpinzani wako