Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,355
hilo sio la kuuliza pitia home bhas jion shemHappy belated birthday mwekundu...! hope you got some birthday sex...!
Barikiwa sana kijana, HBD... Nimechelewa sana... keki alitayarisha ICHANA au?
sssssssh hujui mwekundu mzungu hana shida na MokoyoHahahahaaaaa! mwekundu asiione hii. Yula jamaa sijui mbiga sijui mbwinga anasemaga nyani hasusiwi shamba.... Hahahahahaaaaaa...
"Be an example" 1 timothy 4:12
ha ha ha kumbe ana tatizo na hii jinsia watangulize best zako wewe uwe wa mwisho ili ukiona balaa ukimbie ........