Happy bday my mwekundu

Happy bday my mwekundu

umeanzaa eeeh
Mkuu ukute labda na yeye anakuweka kwenye kundi letu la wazee
kumbe ushajua u mzee japo Kaizer haamini.....wewe sio bazaz kama wao nani kakuambia uwiiiii eti mtamu yaan wewe ............
Kiongozi, nipo kwenye kundi lenu lakini mie sio bazazi kama nyie... afu mie mtamu, muulize atoto ana majibu..

[
 
Last edited by a moderator:
ina maana yeye ndo wale wanaume a daslama...chipsi yai na novida...mara mahindi ya kuchomana ndimu

cc Kaizer kweli eti huna nguvu????umekuwa mzee

Yaabi bora hata hao wa chipsi mayai, yaani yuko hoi bin taaban
 
Last edited by a moderator:
Mbona nyie mnafahamiana akati mi cwajui

Happy born day!

unataka tukufahamu mbona kazi ndogo tuma picha yako na mali unazomiliki hapo utakuwa free kuwaona wengine na kuwafahamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom