Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Status
Not open for further replies.
Kumbe Le mutuz kafikisha 58?.....duuuhh mbona kama under 18... Ila mda mwengne anaongea points balaaa Am humbled U know....
Hivi kaoa huyu?
 
Happy birthday Lembebez

Kwakweli mwakani nikija bongo ntajitahidi nije niiione hiyo office yako ya downtown mana unavyiopa promo sio mchezo

Hizi taarifa za wewe kutangaza nia natumai sio kweli, naamini we sio mtu wa siasa.
 
ila mtoa mada unaonekana kuwa na bifu na lemutuz kwa nn usimtafute mkapeana makavu yakaisha kuliko kuleta huku???alafu pia unapoteza mda wako mwingi kufuatilia maisha yake coz unayajua mambo yake mengi sana...acha utoto
 
Binadamu tuwakatili sana, hivi kwanini mmemuanda na kumsema vibaya huyu mjomba? Hivi kitu gani alichowakosea wajameni?
 
@W.J Malecela kaumbuka..kumbe ana 58 halafu anajifanya kijana!!!! miziki inayomfaa ni Juwata jazz,msondo,vijana jazz,twisti,bampingi,yaani angekuwa mtumishi wa serikali angekuwa kaanza semina ya kustaafu,nampa pole mkewe na watoto,ajikaze apambane,hapo hakuna mwanaume,
 
Hahaha
Noah yenyewe unaambiwa kanunuliwa na mwanaume mwenzie...David Mosha. ...

Nina mashaka na hata huo urithi was blogu......

Last edited by a moderator:
Ndio akili kubwa hiyo alonayo.......

Mjinga sana huyu babu yani anasema watoto zake walienda kulia shida kwa babu yao. Hajui wanakula nini wanavaa nini wanalala wapi wanasomajesomaje bado analeta kashfa zake.
 
Hahaha
Noah yenyewe unaambiwa kanunuliwa na mwanaume mwenzie...David Mosha. ...

Nina mashaka na hata huo urithi was blogu......

Haki y mamaaa chukua hiyo noah ntakuekua shockup mpya zote 4.....mana kwa uzito wke plus mabebezzz anaowapakiza lazma limeisha😁😁😁
 
Haki y mamaaa chukua hiyo noah ntakuekua shockup mpya zote 4.....mana kwa uzito wke plus mabebezzz anaowapakiza lazma limeisha😁😁😁

hahaaa, atakuwa kaunganisha siti mbili za mbele akae peke yake..huo unene ni kama volkswagen beetle,siti ya dereva hatoshi
 
hahaaa, atakuwa kaunganisha siti mbili za mbele akae peke yake..huo unene ni kama volkswagen beetle,siti ya dereva hatoshi

Hahaaa au spring z seat y dreva zimeshakatika huu uzito alitakiwa aendeshe hardtop
 
huyu jamaa hovyo kweli,katelekeza mke na watoto,ile sheria ya obama ingemkuta marekani leo tungeongea mengine
 
huyu jamaa hovyo kweli,katelekeza mke na watoto,ile sheria ya obama ingemkuta marekani leo tungeongea mengine

Msamehe bure alikua anaendesha gari y taka huko usa sasa hpo utaona mukichwa hayuko sawa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…