Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Happy 58th Birthday babu Le Mutuz

Status
Not open for further replies.

case mtanga

Senior Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
101
Reaction score
92
Napenda kuchukua fursa hii kumu wish baba Agapeo na Leona a very happy birthday, may ur special day be fulfilled with happiness and joy, sadly mama Agapeo yuko busy kuwaekea maisha watoto na kuwatafutia pesa za ada ya college si unajua ma single mother ambao baba watoto wamekimbia responsibility zao na kubaki kucheza na kubishana na vitoto Instagram!

zawadi yako ninayo tayari and hooe daddy and mummy na wao wameshakunulia birthday presents, kina Agapeo na Leona wanasema wako too busy ku deal unresponsible deadbeat dad like u, the say wishing u a happy birthday will be the biggest betral to their mothers efforts of raising and providing them without ur help, hopeful being 2yrs short of 60 itakufanya u grow up na kuact responsible.

Screenshot_2015-06-25-17-42-10.png Screenshot_2015-06-25-17-41-48.png
 
Huyu yeye hakutangaza NIA? Kama vile nilimsikia au sii yeye !!!
 
View attachment 263413

hopeful miaka 58 itakuwa na chanzo cha wewe kureason kama mtu mzima na kuacha kutuchafulia mazingira na mikojo yako ya kiutu uzima imekuwa wewe babu kama ngombe kila pembe unakojoa wewe tu basi uache umesikia baba leona enhe watu watakusemea kwa daddy na mummy.
 
Miaka 58? mbona akili zake ndogo sana, kweli nimeamini


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]




- live at my office hizi ndio akili za kitoto ok! kuwa na this kind of office at downtown bongo siku ukiweza kuwa nayo njoo uniambie utakuwa how old!! - Le Big Show
 
Leo hujasubiria zifike page 10 le super celebrity. Msalimia baby msomaliz u know, happy birthday king

- hahahahahahah wasap now namalizia kazi ofisini kwangu and then namchukua baby wangu to the Hilton Hotel Masaki kula batazzz ok hizi kelele za mlango tumeshazoea hahahahahaha U know

Le Mutuz
 
case mtanga inamaana le mutuz ana watoto wakubwa wapo college?

Kama wapo wanasomeshwa na nani?

Na wanamchukuliaje baba yao ukizingatia picha zake na image yake kwa jamii wanavyo mchukulia?

Kuna msaada wowote wanaopata kutoka kwa baba yao?

Samahani kama nimeuliza vitu personal sana.
 
Last edited by a moderator:
case mtanga inamaana le mutuz ana watoto wakubwa wapo college?

Kama wapo wanasomeshwa na nani?

Na wanamchukuliaje baba yao ukizingatia picha zake na image yake kwa jamii wanavyo mchukulia?

Kuna msaada wowote wanaopata kutoka kwa baba yao?

Samahani kama nimeuliza vitu personal sana.

- hahahahahahhahahahahaah halafu ukijua itakusaidia nini kwamba nitakufa au nitapungukiwa nini watoto wanasoma kwa hela nilikuwa ninakatwa kwenye mshahara wangu hiyo ni sheria ya kule, pole sana mmejaaa majungu na umbeya hahahahahaha

Le Mutuz
 
W. J. Malecela

kama hilo jina unaloliona hapo ni bandia basi sawa ila bado najiuliza ni nini haswa kinachokuchekesha babu
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi na Ufutwe, mode mmelala?

- hahahahahaha ufutwe? please muache huyo mama mtumzima wa miaka 51 ajivue nguo hapa hahahahahaha chezeya The King of All bongo Social Media Network bila hoja wala facts, utajivua nguo tu hapa hahahahahahah

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom