Happpy Birthday...

Happpy Birthday...

Siku wakishusha PAYE ikawa walau 10% nitajiunga kwaq hiari.

Afu wamakata PAYE hadi bonus?!! Hapo ndio huwa nachoka kabisa.

Nilienda kusikiliza kama watapunguza kodi ya PAYE ...but sincerely am done na haya makitu ya RAAWU
..thanks nimepata kijiposho Cha kuwekea heshima baa
 
Babu, hebu nitakie salamu zangu za kuzaliwa? Za kwako zina maana sana ili zifike kwa mlengwa.


Happy birthday Kongosho.....a.k.a konie!!

Mwambie Zombie atimize wajibu wake wa kukupa bonge ya sado!!

Zombie alichukua nafasi ya washindani wengine na kwa hiyo aitendee haki!! Kama akishindwa twambie ili tuamue kuchukua hatua kama ile ambayo Sir Ferguson alitamani kuichukua!!
 
Last edited by a moderator:
Siku wakishusha PAYE ikawa walau 10% nitajiunga kwaq hiari.

Afu wamakata PAYE hadi bonus?!! Hapo ndio huwa nachoka kabisa.

Sijui ni uzembe wa serikali kukusanya kodi?
how on earth unakata miasilimia yote hiyo?
 
Mi nilishawahi kukataa kujiunga na juwata gani sijui. Yaani nikiangalia hela ya kukata ndefu, nikawaambia nikiwa na issue nitajibeba. Hawakuamini wale wazee lol.


mambo ya kuteteana unafki mtupu. Nikilianzisha nalimaliza mwenyewe

Juwata? Duh, Shkamoo!
 
Sasa salamu zimekamilika. Leo anapumzika, ni kichanga.

Happy birthday Kongosho.....a.k.a konie!!

Mwambie Zombie atimize wajibu wake wa kukupa bonge ya sado!!

Zombie alichukua nafasi ya washindani wengine na kwa hiyo aitendee haki!! Kama akishindwa twambie ili tuamue kuchukua hatua kama ile ambayo Sir Ferguson alitamani kuichukua!!
 
Last edited by a moderator:
hiki tunachopimia vitunguu?

Ndiyo hicho ila sijaonge katika mkutadha huo....

Hata hivyo, hii inaweza kudhihirisha kuwa wewe si mwenzetu....

Labda wakongwe wanaweza kukusaidia maana ya kupewa sado..

Cc: Asprin, Fixed Point...!
 
Last edited by a moderator:
Siku wakishusha PAYE ikawa walau 10% nitajiunga kwaq hiari.

Afu wamakata PAYE hadi bonus?!! Hapo ndio huwa nachoka kabisa.

Nini bonus, watu tunakatwa PAYE mpaka kwenye nauli ya likizo na tumejiridhikia we unalalama kama zuzu.
 
Ndiyo hicho ila sijaonge katika mkutadha huo....

Hata hivyo, hii inaweza kudhihirisha kuwa wewe si mwenzetu....

Labda wakongwe wanaweza kukusaidia maana ya kupewa sado..

Cc: Asprin, Fixed Point...!

Mzee mwenzangu,

Najua unajua muda wangu bado haujafika.

Kikombe alichonipa baba sitakinywa?

cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Haha ha, babu acha ukorofi.

Huku kwetu tunatumia kikombe cha kahawa kupimia vitunguu

Ndiyo hicho ila sijaonge katika mkutadha huo....

Hata hivyo, hii inaweza kudhihirisha kuwa wewe si mwenzetu....

Labda wakongwe wanaweza kukusaidia maana ya kupewa sado..

Cc: Asprin, Fixed Point...!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo nauli ya Moshi vijijini inaishia Tanga?

Nini bonus, watu tunakatwa PAYE mpaka kwenye nauli ya likizo na tumejiridhikia we unalalama kama zuzu.
 
Mwanangu mmoja alizaliwa Mei Mosi. Ni jembe kweli kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom