Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!
Hili nalooo la mbolea!Nenda ka sign jina chukua mwavuli na posho yako .timua...sHili io laZima uende maandamano
Swala ni kuwa as long as nawachangia hata kidogo kiasi gani, i should be ONE OF THEM! Waniteteeee kijalali, sasa 1% wamekula afu kwenye hearing wananiletea nyokolosti zao!He he he, nqcheka kama mazuri, kukatwa 1% ya mshahara lazima.uwe na.khasira? kwa mwaka ni sh ngapi.vile.unawachangia?
Swala ni kuwa as long as nawachangia hata kidogo kiasi gani, i should be ONE OF THEM! Waniteteeee kijalali, sasa 1% wamekula afu kwenye hearing wananiletea nyokolosti zao!
Umeonaaaaa! Eti TUICO ndo inakushauri usiende mahakamani, resign tu uchukue vijisenti utavopangiwa!!! REALLY.?Tuico ni chama cha porojo na kula posho..ukiwa na shida msikilize your lawyer first na Tuico usiwaeleze the truth...use them..but dont trust them
Lara moja unaharaka gani bi dada hebu rejea andiko lako!Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!
Kwa wafanyakazi wa serikali weekend ilianza jana. Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake.
Time is money! NILICHOANDIKA NIMEANDIKA-PONSIO PILATO!Lara moja unaharaka gani bi dada hebu rejea andiko lako!
Anyway Kongosho kama leo ni besidei yako basi hepi besidei hukuhuko zikufikie.
Na wewe unakuja, nna tisheti ya papo.
Umeonaaaaa! Eti TUICO ndo inakushauri usiende mahakamani, resign tu uchukue vijisenti utavopangiwa!!! REALLY.?
Tuico ilikuwa zamani, watu wananyanyaswa kwa wahindi wala Tuivo hawajigusi kutumia haki yao kisheria kuandikisha wanachama wapya! Chama linadoroa daily! Wananikera waleeeeee! Ungekuwa uwezo wangu tuico ya ofisini ningewawekea sumu wote kwa kuharibu maisha ya watu dhaifu wana waamini!
Hahahaha, weeh mtoto unantaka nini? Nshaacha mie
Hahaaaaaaa! Ilw ada wanayonikataga inaniuma balaaaaaaa! Adu kwenye hearing zanhu sioni wnachonitwtwa sazingine wanakuwa upande wa kampuni ! Siwezi kwwnda anadaman wakati wanaoki
A hela ya TUICO wamwjipumzisha! Nina hasira naoooooooo!
Uliacha lini dada?
Au niseme?
Tangu nimjue Yesu. Weeeh, koma kabisa
Sivaagi zile tshirt aisee. Enzi natumikia mwajiri sikuwahi kuandamana na mshua ndo anavaa tshirt akienda kupiga michapo na wazee wenzie. Yaani sikuwahi hata kufuata posho!