Happiness starts within you

Happiness starts within you

wapo..japo wachache..huyu namtania tu..najua hana itikadi hizo..niliwahi kumshawishi tutengeneze kitabu tupige pesa akagoma

inategemea kilikuwa kitabu gani aiseee...ndiyo maana akapiga chini......ila kuna ambao wapo wameridhika na walichonacho.....na kama wanataka zaidi....wanatumia njia halali kujipatia pesa.......
 
Unahitaji vitu 3 uwe happy. Navyo ni wealth, health and love.

But you may have them yet you become unhappy at one time or another. This is because our happiness is also detrmined by things we are attached to. Example. If your spouse kicks you out you become unhappy, if your son or doughter get sick or suffer from anything negative you became unhappy. If your favourite car is involved in an accident you become unhappy , even your favorite team gets defeated you end up unhappy.

All in all they are simply temporary. Your wealth, health and love brings you back to happiness.
 
Asprin babu miongoni mwa wajukuu wako uliosomesha..kwa huyu ada yako ilitumika kihalali...vipi babu bado hujanifikiria tu lile ombi langu
 
Last edited by a moderator:
kwa bandiko lako tu inaonekana unajitambua sana na huenda umekutana na mengi ndiyo maana busara kama hii ikajengeka kwako. maneno yako si tu ni matamu bali yanaelimisha sana Mungu akubariki sana.
 
Unahitaji vitu 3 uwe happy. Navyo ni wealth, health and love.

But you may have them yet you become unhappy at one time or another. This is because our happiness is also detrmined by things we are attached to. Example. If your spouse kicks you out you become unhappy, if your son or doughter get sick or suffer from anything negative you became unhappy. If your favourite car is involved in an accident you become unhappy , even your favorite team gets defeated you end up unhappy.

All in all they are simply temporary. Your wealth, health and love brings you back to happiness.
Shukran Jazzira.
Wassalam
 
Naamin nyuma ya mafanikio yoyote ya MTU kuna painfully stories..!usivunjike moyo changa moto zinavyozidi..
 
Loved reading that..the whole of it though I must admit the last paragraph caught mine eyes a lot more than other paras.

There is that saying about birds of the feather flocking together..and one good friend of mine (actually my mentor) once told me during our investigation lessons..."Inkhubu, you can never fail to understand a person..in case he is not even available just look at his friends"
 
Nadhani #invisible , #moderator na mods wengine kuna watu kutokana na michango yao wanahitaji ANGALAU wawe recognized kwa angalau hata ID zao ziwe na rangi fulani tofauti na members wengine. Huyu gorgeousmimi nadhani amekua na mchango wa kipekee sana (japo wengine kama #mzizimkavu etc wapo). Anajitahidi sana kutupa michango chanya.
Thread nzuri sana. Keep it up #gorgeousmimi .
NB: i am not promoting anyone here. I have zero interest to whoever mentioned here!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani #invisible , #moderator na mods wengine kuna watu kutokana na michango yao wanahitaji ANGALAU wawe recoginze kwa angalau hata ID zao ziwe na rangi fulani tofauti na members wengine. Huyu gorgeousmimi nadhani amekua na mchango wa kipekee sana (japo wengine kama #mzizimkavu etc wapo). Anajitahidi sana kutupa michango chanya.
Thread nzuri sana. Keep it up #gorgeousmimi .
NB: i am not promoting anyone here. I have zero interest to whoever mentioned here!

Mods walisharifikiria hilo...nadhani watakuwa wanajisahau tu..si unajua nao ni binadamu.....tunashukuru kwa kuwakumbusha..hope watalifanyia kazi soon
 
Last edited by a moderator:
Mfamaji ni kweli nakubaliana na wewe uliyoyataja pia yanahusiana na furaha yetu,maisha yetu ya kila siku ni outcome ya furaha tunayoipata.Mafanikio ya malengo yetu na changamoto za kimaisha zinaathiri furaha yetu. Lakini furaha ninayoiongelea mm ni ile furaha ya kujikubali wewe binafsi kama mwanaadamu anayejitegemea na mwenye uwezo wa kutelekeza matakwa yako.Kama wewe mwenyewe hujitambui na hujikubali hata uwe na pesa na mapenzi bado utakuwa mwenye huzuni vilevile.Kuna watu wana kila kitu maishani mwao na vilevile hawana furaha.
 
Last edited by a moderator:
hahahaa hapo kwenye red .....hivi hauamini kama kuna wanawake hawana utumwa wa pesa....? kama ukiwa mpenda pesa unakuwa mtumwa...unafanyishwa vitu ambavyo hata mnyama hawezi fanya ila sababu unapenda pesa unavumilia tu....sasa ukishajitambua katika hili....mashetani ya pesa hayawezi kukupanda kamwe......


ukiwa mwanamke mwenye fikra zakujikomboa mwenyewe hupati shida kabisaaaa fanya kazi ukiwa na hela yako, na vitu vyako bwana ni raha saaaana mpenzi unachagua tu mwenye true love
 
Neno 'within' hapo lina maana kubwa
kwa kiswahili ni sawa tuseme 'furaha iko ndani mwako'
au inaanzia 'ndani yako'
wengi hawaelewi hapa maana yake....

ni tofauti sana kusema happiness start with you...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom