Happening now: CCM wazomewa Dar

Happening now: CCM wazomewa Dar

Swali la maingi sana hili. Anadhani wote humu huwa tunajinyea
Kijana chunga sana kinywa chako kwani uzima na mauti viko chini ya mungu aliyeziumba mbingu na nchi ; siyo ccm.mfano mzuri celina kombani alikuwa na afya yake leo yuko Wapi??hakuna aliye nauhakika juu ya uzima wake anaejua ni mungu tuu.
 
Hii nayo sifa ya UKAWA.kwenye jukwaa hawawezi kusema.sasa wanazomea.wanataka kuchochea mapambano ili wailaumu SEREKALI

Serikali hapo inaingiaje? Yanga na Simba wanazomeana lakini mwisho wa siku wanakunywa na kula pamoja. Ukawa wakizomea na Ccm zomeeni, wanachofanya watani ni kukubali kushinda na kushindwa.
Mwenyekiti wenu alishawaambia mjiandae kisaikolojia hamtaki mnategemea serikali. Itafika siku hao polisi watakuwa marafiki wa mageuzi halafu mtaishia kunya kokoto.
 
Kitendo tu cha kuzomea ni dalili tosha ya ukosefu wa ustaarabu wa msingi! Jamani hili kundi lenye watu wa aina hii linatakiwa lifanyiwe uchunguzi wa vinasaba kuhakikisha uasilia wao maana hii siyo Asili ya watanzania na wala siyo Asili ya binadamu walio wastaarabu na wanaoelewa kuwa siasa ni siasa tu lakini kuna heshima ya utu na utaifa. Mimi nashangaa kabisa tutapata watawala gani ngazi zote za jamii watakaotokana na watu wenye hulka hii? Dawa yao piga chini tu 25 oct waende jandoni kwanza wakajifunze heshima. Mwanaume heshima bwana

Haya weee, hutanishawishi kuwa siasa za TZ eti mwazifanya kiistaarabu labda kamwambie bibi yako wa kule bush kijijini wasiopata fursa ya kuona na kusikia yanayo tamkwa majukwaani huku kamera lukuki zikiwa bize kudaka live coverage. Kuna huyu mtu anayeitwa EL mbona anatukanwa sana hadi kudhalilishwa lakini humsemei au ni kwavile ni fisadi wa ri'mond? Japo niki recall huyo mtu alitajwa na wenzake wengine 10 ambao wengi wao bado ni viongozi wetu wakubwa tu wa nchi yetu mama tz! Ohoooo something very amazing ni kwa Watz tunakuwa wavivu wa kumbukumbu?.Yaani taifa lote HATA UKAWA nao wamesahau hii issue ya Tegeta bin ESCROW. Why why why why? Bado naambiwa kuna chenji za rada, sakata la uuzwaji wa nyumba za serikali, ubinafsishwaji mbovu kabisa wa mashirika ya umma, samaki wa Mag, mv DSM, UDA, EPA, Mishahara hewa, 10% kwenye zabuni za serikali ambazo zimesababisha ufanisi mdogo wa kazi kama vile barabara, magari ya kifahari ya serikali, kupandisha ya kerosine eti kuzuia uchakachuzi, wapi reli ya kati, kupeana kazi kwa kujuana nao ni ufisadi, hsya kwenye gesi nako usiseme. Duuuh hii nji ni nouma kweli kweli eti fisadi ni el tu! Let us wake up and keep aside with cheap politics, unless if you have some personal interests and benefits of either parties then proceed.
Naomba nihitimishe kwa kusema kweli kwamba ni viongozi wachache sana wa siasa ambayo ni wasafi otherwise wote ni mchwa tu.
 
UKIWA kuanzia tarehe 01.10.2015 wamepanga kuja na mikakati hii:-

. Kuzomea kwenye mikutano ya Magufuli ili ionekane hakubaliki. Kurekodi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii

.Kuwaaminisha watu kuwa matokeo hayatakuwa huru. Vijana wachukue hatua ya kuingia barabarani na kufanya machafuko.

Mikakati hii tayari utekelezaji wake umeanza...tumemuona Mbowe akiilalamikia tume ya uchaguzi leo kana kwamba alikua anakubaliana nayo miaka yote...

tumeona vijana wakitumika kuzomea huko mbeya na sehem zingine...ila ushindi wa magufuli ni 90%
 
Hao WANawake waoimba ccm mbere kwambere. Ni mabamedi na wauza nyape
 
Gari lililokuwa limebeba watu waliovalia nguo za njano na kijani (sio yanga) zao zikiwa na nembo ya jembe na nyundo wamekumbana na dhoruba ya zomeazomea mtaa wa kongo na uhuru dsm. Tukio lilodumu kama hadi gari lilipoondoka.

Mkuu huku mtu akivaa nguo za ccm wanamshangaa utafikiri labda anatembea uchi
 
Kama uko tayar kushangiliwa ni lazima pia uwe tayar kuzomewa, watu huwa wanaonesha hisia zao kwa njia hizo
 
Gari lililokuwa limebeba watu waliovalia nguo za njano na kijani (sio yanga) zao zikiwa na nembo ya jembe na nyundo wamekumbana na dhoruba ya zomeazomea mtaa wa kongo na uhuru dsm. Tukio lilodumu kama hadi gari lilipoondoka.
Huo sio ustaarabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom