Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Kama uko tayar kushangiliwa ni lazima pia uwe tayar kuzomewa, watu huwa wanaonesha hisia zao kwa njia hizo
You are right. Wanalipwa na wananchi kwa zomeazomea zao wakati bunge la katiba
Kama uko tayar kushangiliwa ni lazima pia uwe tayar kuzomewa, watu huwa wanaonesha hisia zao kwa njia hizo
Swali la maingi ndio nini we gamba?
Swali la maingi sana hili. Anadhani wote humu huwa tunajinyea
Tangamano umeona leo??