Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
Ccm njeee kabisa ya ulingo wa kisiasa
Oh Mmawia,lets Bet....
Ccm njeee kabisa ya ulingo wa kisiasa
Na mtakoma sana baada ya uchaguzi. Bahati nzuri wafuasi wa CCM ni wastaarabu sana. Wanawaangalia tu mnavyopiga mayowe
duh unatia huruma ilivyotetea hiyo hoja ila hakuna jinsi tena ni lazima muondoke
VIVA UKAWA!!!
Mmeamua kuwaharasse watu mnaotofautiana nao kiitikadi kwa matendo yote mabaya lakini hiyo haitawasaidia ..mwaka huu mmekwisha na hiyo inachochea hasira za ndani, tutawapiga 90%
yNI NIKIONA MTU KAVAA NGUO YA CCM NAONA KAMA KAJINYEA AU KICHAA HIVI ASIEJUA ANATOKA WAPI NA ANAENDA WAPI
Hakika. Fisadi siku ya uchaguzi atajiharishia sana
Kwani Kariakoo kuna muda inakosa watu? Hata hivyo mleta mada hajakuambia kuwa alikuwa anaripoti live event, kuna uwezekano muda fulani ulikuwa umepitaMtaa wa Kongo muda huu?
Mwaka huu lazima mtakula dona la icc
Hiyo kajinyea na kichaa mbona km unamtukana boss wako? Ooo angalia dogo ujue unasema kinyumenyume...shuuzi
...hahahaaa mkuu wa wilaya unavyojitutumua kulinda kitumbua kisiingie mchanga,Lowassa anasubiri siku chache kuingia ikulu itabidi ununue jembe mapema ukalime.
Habari ya kufua nguo sijui za nani upewe cheo hazitakuwepo tena.!
Hukuchukua video turushe kwny mawasap?
Mi kwa mtazamo wangu. Ukiona mtu anamzomea mpita njia alievaa jezi au sale za chama fulani basi ujue upeo wake wa siasa ni mdogo na ndio ulipoishia apo
Tunahitaji upinzani waingie ikulu ili tuchunguze ile mikataba ya gesi tukiwa na ccm itakuwa ngumu
Nyinyiem kwishaaaaa kwisha kabisa
Mkuki kwa Nguruwe? Ukijaribu tu kufanya hata kautafiti kautani hapoMmeamua kuwaharasse watu mnaotofautiana nao kiitikadi kwa matendo yote mabaya lakini hiyo haitawasaidia ..mwaka huu mmekwisha na hiyo inachochea hasira za ndani, tutawapiga 90%